In recognition of the great contribution of the members of Association of Tanzania Oil and Gas service providers (ATOGS) in the oil and gas sector in Tanzania, in pushing the wheel of development of the private sector and society as a whole. On Friday, 8/10/2021, Hyatt Regency (The Kilimanjaro Hotel) Dar Es Salaam, ATOGS organized a short ceremony to welcome new members to the fraternity.

The event included oral issues, identification of new community members and the distribution of certificates to members, including a word from the chairman of the association Hon. Abdul Samad Abdul Rahim and a word from the new members as well as business to business conversations. The event was also attended by ATOGS stakeholders.

Companies that received certificates included;

 

TANZANIA TRAVEL LINK,

SETH FUEL (T) LTD,

ENIKON LTD,

HELPDESK ENGINEERING CO LTD,

MANAGEMENT M LTD,

USANGU LOGISTICS CO. LTD,

KILUMI SECURITY SERVICES LTD,

TAN MANAGEMENT INSURANCE BROKERS LTD,

JOMUKA GENERAL SUPPLIES LTD,

EXPLICIT MAIN CONTRACTORS LTD,

KIHUMULO KFT BUSINESS CATERING SERVICES,

GIGA OIL & TRANSPORT CO. LTD,

Z H POPPE LTD,

PRIME FUELS,

HOUSTON POWER,

MFINANGA CARGO & GENERAL TRADING (MCGT),

RADIO WAVE LTD,

DCG TANZANIA LTD,

BALTON COMMUNICATIONS,

SIKA TANZANIA CONSTRUCTION CHEMICALS LTD,

HIMOINSA Co. Ltd,

FORTES AFRICA,

NMB,

XPRESS RENT A CAR,

GF VEHICLE ASSEMBLERS,

HASSOCK ASSOCIATES,

MAGARE COMPANY LIMITED,

SHUGULIKA AFRICA LTD,

ARMOURED ALLIANCE.

A WARM WELCOME ONCE AGAIN,

 TO

ASSOCIATION OF TANZANIA OIL AND GAS SERVICE PROVIDERS (ATOGS).

 

Receive Cordial Greetings from Association of Tanzania Oil & Gas Service Providers (ATOGS)
Association of Tanzania Oil & Gas Service Providers (ATOGS) is pleased to see positive progress of a second joint
Glad to hear that LNG negotiations will officially start on 8th November, 2021
Issued by Secretariat
Association of Tanzania Oil & Gas Service Providers (ATOGS)
Chair led a delegation of Board to a fruitful meeting with Hon. Makamba, his Deputy Minister and Perm Secretary in the MoE. Others include Deputy PS, MD of TPDC, Acting DG PURA and other representatives in the MoE
We discussed:
1. Involvement of locals in mega projects
2. Energy Congress
3. Ring-fencing goods & services for local suppliers
2/2
4. #EACOP and #LNG stakeholder engagement
5. Collaboration
6. Capacity building and sector skills gap
7. Local Content Policy
8. Protect Foreign investments
9. Manage Expectation
Tupo tayari kufanya kazi na ATOGS- Waziri Makamba
Waziri wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa, Wizara ya Nishati ipo tayari kufanya kazi na Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS)  ili kuendelea kuwezesha   wananchi kushiriki ipasavyo katika Sekta hiyo.
Makamba alisema hayo tarehe 4 Oktoba, 2021 wakati alipofanya mazungumzo na Wajumbe wa Bodi hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Abdulsamad Abdulrahim ambapo Jumuiya hiyo ilifika katika Ofisi za Wizara ya Nishati, Mtumba jijini Dodoma kwa kwa ajili ya kueleza malengo yake na masuala mengine  yanayohusu Jumuiya hiyo ambayo ina wanachama takriban 128.
Kikao hicho kilihudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, Mkurugenzi Mtendaji wa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), Dkt. James Mataragio na Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli ( PURA), Charles Sangweni.
“Sisi tuko tayari kufanya kazi na ninyi kwani tunaamini wananchi wengi wanaweza kunufaika na fursa zinazotokana na hii sekta kutokana na uwepo wa Jumuiya hii ambayo inawapa wananchi taarifa mbalimbali kuhusu fursa zilizopo pamoja na  kuwaunganisha na Mamlaka mbalimbali pamoja na wafanya maamuzi.” Alisema Makamba
Alisisitiza kuwa, Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake zitaunga mkono Taasisi au Jumuiya ambazo zina malengo chanya ikiwemo ya kuwaunganisha wananchi na kuwapa fursa na taarifa zitakazowasaidia katika kushiriki katika shughuli za maendeleo.
Wajumbe wa Jumuiya hiyo walishukuru uongozi wa Wizara ya Nishati kwa kuwapokea na kuwasikiliza na kueleza kuwa, nia yao ni kushirikiana na Serikali katika utaratibu wowote utakaopelekea wananchi wengi washiriki kwenye  shughuli za kiuchumi katika Sekta ya Mafuta na Gesi.
CAPTIONS
Moja
Waziri wa Nishati, January Makamba (Kulia) na Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, wakiwa katika kikao na  Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS), (hawapo pichani).
Mbili
Waziri wa Nishati, January Makamba (wa Pili kushoto) na Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (wa kwanza kushoto), wakiwa katika kikao na  Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS). Wa Tatu kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Abdulsamad Abdulrahim.
Tatu
Mkurugenzi Mtendaji wa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), Dkt. James Mataragio (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli ( PURA), Charles Sangweni wakiwa katika kikao na  Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS), (hawapo pichani).
Nne
Waziri wa Nishati, January Makamba (wa Nne kushoto),  Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (wa Tano kutoka kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa  Bodi ya Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS) pamoja na Baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati mara baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika jijini Dodoma. Wa Tatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Abdulsamad Abdulrahim.
IN PHOTOS:
Hon. January Makamba (MP), Minister for Energy (MoE) with ATOGS Chairman of the Board, Hon. Abdulsamad Abdulrahim together with PSO’s Leaders and other Private Stakeholders and Business Community participating on the EACOP Local Content Forum at JNICC, Dar es Salaam.

The Uganda-Tanzania crude oil pipeline (EACOP) project is committed to promote the economic development, Local Content and industrialization in the country. To achieve this, Total and EACOP, Government of Tanzania in collaboration with ATOGS and other private sector stakeholders are hosting Local Content Forum today 23rd September 2021 to showcase all value additions, procurement technical information and services in the $3.5 Billion project.

Date: Monday 20 September, 2021

Time: 15:00 PM (EAT)

Location: Serena Hotel, Kampala, Uganda

Live Virtual Meeting ID: 987 7799 7616

Joining Link: https://bit.ly/3tXyK8T

Passcode: UCMPMEET1

The Uganda Chamber of Mines & petroleum (UCMP) and private Sector Foundation Uganda (PSFU) will be signing a Tripartite Memorandum of Understanding (MoU) with The Association of Tanzania Oil and Gas Service Providers (ATOGS) today Monday 20 September ,2021 at 15:00 PM (EAT) at Serena Hotel Kampala.

Further Information will follow soon.

Press Release ATOGS – TCCIA MoU Signing Ceremony

 

 

Bodi ya wakurugenzi,Menejimenti na Sekretariat ya Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS), tupo imara na tayari kuchapa kazi na wewe kwa kutekeleza maelekezo yako na kuhakikisha ajenda za sekta ya Nishati zinafanikiwa.