Kongamano Kujadili Fursa za Biashara katika Bomba la Mafuta Ghafi

Makala ya Kongamano la wadau wa sekta binafsi kujadili fursa za kibiashara katika mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania. Kongamano hili lililoratibiwa na baraza la Taifa la uwezeshaji(NEEC), lilifanyika mnamo tarehe 23/02/2018, katika ukumbi wa Kilimanjaro wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT). Kongamano hili lilifunguliwa na Waziri wa Nchi ofisi ya waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama aliyekuwa mgeni rasmi.