ZIARA MAALUMU YA JUMUIYA YA WATOA HUDUMA KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI TANZANIA (ATOGS), WIZARA YA NISHATI (MoE)

Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania (#ATOGS) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Hon. Abdulsamad Abdulrahim, Wakurugenzi wa Bodi, Wajumbe wa Kamati pamoja na Sekretariat walifanya mazungumzo na Uongozi wa Wizara ya Nishati (#MoE) ukiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu Mhe. Adam Zuberi pamoja na Maafisa wa Wizara.

OFFICE VISITED: THE NATIONAL PARLIAMENT

Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Hon. Abdulsamad Abdulrahim, imefanya mkutano na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Bungeni, Jijini Dodoma

ATOGS VISIT TO THE PARLIAMENT

Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Hon. Abdulsamad Abdulrahim, imefanya mkutano na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Bungeni, Jijini Dodoma. Lengo…

ASSOCIATION OF TANZANIA OIL AND GAS SERVICE PROVIDERS (ATOGS) OFFICIAL VISIT TO SIKA INDUSTRY, SALASALA DAR ES SALAAM.

Recently, ATOGS Board of Directors embarked on members visitation mission including a recent field visit to Swiss foreign investor Sika Tanzania @⁨Dennis Ott TZ⁩, a multi-million dollar state-of-the-art Chemical Giant that manufacturers…