Bodi ya wakurugenzi,Menejimenti na Sekretariat ya Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS), tupo imara na tayari kuchapa kazi na wewe kwa kutekeleza maelekezo yako na kuhakikisha ajenda za sekta ya Nishati zinafanikiwa.